0 Comment
Na Mwandishi Wetu,Mbinga WAKAZI wa kijiji cha Ukimo kata ya Mbangamao Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma,wameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Maji kwa kuwajengea mradi wa maji ya Bomba utakaomaliza adha ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama. Wamehaidi kulinda mradi huo ili uendelee kuwanufaisha wao na kizazi kijacho, kutokana na... Read More