0 Comment
Klabu ya Parma imeamua kuachana na kocha mkuu Fabio Pecchia kufuatia kupoteza mchezo wa nyumbani dhidi ya Roma. Uamuzi wa kumtimua kocha huyo, ambaye alikuwa ameongeza tu mkataba na klabu hiyo mwishoni mwa Oktoba, ulikuja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya – Parma iko kwenye mfululizo wa mechi saba bila kushinda katika Serie A na... Read More