0 Comment
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) siku ya Jumatatu limelaani uporaji wa maghala yake mwishoni mwa wiki hii iliyopita huko Bukavu, mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, huku kukiwa na sintofahamu juu ya hali ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. “Maghala muhimu ya chakula kilichohifadhiwa yalikusudiwa kutoa msaada wa kuokoa... Read More