0 Comment
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Iringa wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi, burudani za pamoja za kujiimarisha kiafya. Bonanza hilo limefanyika February 15, 2025 katika Viwanja vya Samora ambapo jumla ya Watumishi 350 wameshiriki katika michezo mbalimbali kama kuvuta kamba, kukimbia pamoja na mpira... Read More