0 Comment
Balozi wa India nchini Tanzania, Bishwadip Dey amesema Tanzania iko katika hatua za mwisho kutengeneza magari yanayotumia Umeme na Gesi nchini kupitia kiwanda cha kampuni ya GF kilichopo Kibaha mkoani Pwani. Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa gari ya Mahindra Scorpio uliofanyika jijini Dar es salaam, Balozi Dey amesema kutokana... Read More