0 Comment
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar Ali Haji Hassan amewataka Masheha kuwa na mashirikiano katika kuhakikisha wanayaimarisha mabaraza ya Vijana katika Shehia Wanazoziongoza. Akizungumza na Masheha kutoka Shehia za Wilaya ya Mjini na Wilaya ya Magharibi B, amesema Masheha wana Jukumu la Kuhakikisha kuwa Vijana wanajiunga na Baraza la Vijana Zanzibar na kufanya hivyo... Read More