0 Comment
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtuhumiwa Masanja Mihayo, Miaka 31, Mkulima, Mkazi wa Ikandilo Wilaya ya Geita kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Mihayo Masanja, Miaka 10 kisha kuuzika mwili wake kwenye shamba la Mahindi na Pamba. Tukio hilo limetokea mwezi Oktoba 2024 ndani ya Hifadhi ya Pori la Serikali Kata... Read More