0 Comment
NA MWANDISHI WETU, NJOMBE WAKULIMA wa Mazao ya Misitu, Mazao ya Chakula na Biashara, vikiwemo Vikundi vya Kijamii, Vyama vya Ushirika wa Msingi (AMCOS), Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) na Vikundi vya Kuweka na Kukopa (VICOBA), katika Mikoa ya Nyanda za Juu, wametakiwa kulitumia vema Jukwaa NMB Kijiji Day ili kuharakisha ukuaji wao kiuchumi.... Read More