0 Comment
Mbinga-Ruvuma. Halimashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma,imekufanikiwa kukusanya Sh.bilioni 12.2 kati ya lengo la awali la kukusanya Sh.bilioni 8.4 hadi kufikia tarehe 30 Juni 2025. Akitoa taarifa kwenye kikao maalum cha Baraza la madiwani la kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Mkuu wa kitengo cha fedha na Uhasibu Halmashauri hiyo... Read More