0 Comment
Mtangazaji wa Clouds Media na Mwenyekiti Tasisi ya “Babuu Cancer Foundation” Sedou Mandingo maarufu “Babuu wa kitaa” ameandaa matembezi ya furaha yatakayofanyika December 28 2024 Jijini Mwanza yakilenga kutoa elimu ya Saratani. Babuu akiwa ameongozana na Wataalamu wa Afya, amezungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ameeleza kuwa Kampeni yake ya ‘Happy Walk’ ina lenga... Read More