0 Comment
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Methew amemtaka Mkandarasi STC CO LTD anaejenga chanzo cha maji katika Mto nyangao -Chiuwe kukamilisha kazi ndani ya miezi miwili. Mhandisi Kundo ametoa agizo hilo wakati wa ziara yake Wilayani Lindi kwenye mradi wa maji Nyangao- Mtama na mradi mkubwa wa vijiji 56 kwa kutumia chanzo hicho cha Mto... Read More