0 Comment
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala akizungumza na maafisa Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania, hivi karibuni wakati maafisa hao walipofika wilayani hapo katika ziara ya siku moja kwa ajili ya kutoa elimu ya mlipa kodi kwa wafanyabiashara na Wananchi kwa ujumla. MKUU wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, amesema kuwa endapo wananchi wataelewa... Read More