0 Comment
Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland, Mhe. Neale Richmond, ametembelea Kitengo cha huduma ya Saratani kwa watoto cha Hospitali ya Taifa Muhimbili. Baada ya kutembelea na kujionea kazi zinazofanywa katika Kitengo hicho ,Mhe. Richmond alipongeza juhudi za madaktari na wahudumu wa afya kwa kazi kubwa ya kuhudumia watoto wenye saratani. Pia, alisifu... Read More