0 Comment
Baadhi ya akina mama wa Umoja wa Mama Lishe Tanzania (UMALITA) kulia wakipika futari kwa kutumia majiko ya gesi wakati wa hafla ya kusoma dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan na watoto yatima wakati wa futari iliyoandaliwa na umoja huo kwenye viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar... Read More