0 Comment
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau pamoja na kuweka mipango ya kuendelea kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi katika kuhakikisha usalama wa usafiri wa anga. Akizungumza... Read More