0 Comment
Na. Josephine Majura na Chedaiwe Msuya, WF, Mwanza Serikali imewakumbusha wakopaji kusoma kwa kina masharti yote ya mikataba kabla ya kuchukua mikopo kutoka kwa Taasisi za kifedha ili kujiepusha na matatizo yanayoweza kutokea kutokana na masharti magumu au riba kubwa ambazo huathiri urejeshaji wa mkopo. Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Arch. Chagu Nghoma,... Read More