0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban (29), mganga wa tiba asilia na mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi, kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira (58), mkazi wa eneo hilo hilo. ACP Muhudhwari Msuya, Kaimu Kamanda wa polisi mkoani Pwani, alithibitisha kuwepo kwa tukio hilo. ... Read More