0 Comment
Watoto wawili Gilson John Charles (13) mkazi wa mtaa wa Mpera na Ramadhani Sabayi(10) mkazi wa kata ya Malolo manispaa ya Tabora wameripotiwa kujinyonga katika matukio mawili tofauti huku mmoja akidaiwa kufokewa na mama yake mzazi Katika tukio la kwanzaGilson John Charles (13) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya chandarua iliyokuwa kwenye mti... Read More