Na Mwandishi Wetu,Morogoro KATIKA jitihada za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika utafiti wa misitu na uhifadhi wa mazingira, ujumbe wa wanasayansi kutoka Urusi umetembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Ziara hii ya siku mbili inalenga kuimarisha uhusiano wa kisayansi, kielimu na kiteknolojia kati ya Tanzania na Urusi katika sekta ya misitu na uhifadhi... Read More
Na Oscar Assenga, TANGA KONGAMANO la Tathimini ya Ujenzi wa Hospitali itakayosimamia maadili ya Kiislamu limefanyika Jijini Tanga huku wadau wa maendeleo nchini wakiombwa kuchangia kufanikisha ujenzi huo ambao utakuwa chachu kwa kutoa huduma kwa maadili ya kiislamu.Akizungumza wakati wa kongamano hilo Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanga Islamic Development Foundation (TIDF) ujenzi wa Hospitali hiyo... Read More
Na. Farida Ramadhani, WF, Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu Elmaamry Mwamba, amekipongeza Kitengo cha Mawasiliano Serikalini cha Wizara hiyo kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuhabarisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Wizara katika kukuza na kusimamia uchumi kwa njia mbalimbali za mawasiliano. Dkt. Mwamba ametoa pongezi hizo jijini Dodoma wakati akipokea Jarida... Read More
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WF, Mara Katibu Tawala Mkoa wa Mara Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Rai hiyo imetolewa Mkoani Mara, alipokutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Wataalamu ya Elimu ya Fedha kutoka... Read More
Na Mwandishi Wetu OFISA Mkuu wa Usambazaji kutoka Kampuni ya Jubilee Insurance Rogation Selengia anaeleza kuwa Bima ya afya sio tena anasa bali ni lazima. Akizungumza kuhusu umuhimu wa Bima Selengia anasema pamoja na gharama za matibabu zinazoongezeka, mpango bima sahihi na unaofaa unatoa ufikiaji wa huduma muhimu bila mzigo wa msongo wa kifedha.... Read More
Na Seif Mangwangi, Dodoma WAKATI Mfuko wa bima ya afya ukijivunia mafanikio makubwa ya Mfuko chini ya uongozi wa awamu ya sita, kwa kuongeza mapato na wigo wa kutoa huduma, pia umefanikiwa kuokoa zaidi ya bilioni 22 zilizotokana na udanganyifu wa utoaji huduma ya afya kupitia vituo vya afya huku ikivifungia vituo vya afya... Read More
VICTOR MASANGU,KIBAHA Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, vijana,ajira na watu wenye ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete leo machi 11 amefanya ziara ya kutembelea na kugagua eneo la uwanja wa shirika la elimu Kibaha ambao utatumiaka katika sherehe za uwashwaji wa Mwenge wa uhuru Kitaifa ambapo baada ya kupita ameridhishwa sana na maandalizi ambayo... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF) Bi. Catherine Russell, leo tarehe 11 Machi, 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia ameishukuru UNICEF kwa mchango wake katika masuala mbalimbali ikiwemo afya, elimu na lishe... Read More
Na Dixon Hussein – Arusha WANAWAKE katika Taasisi ya Utafiti wa Mboga Duniani “World Vegetable Center” iliyopo Tengeru jijini Arusha wame wameacha tabasamu kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi wa kituo cha Motonyok baada ya kukabidhi zawadi ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele ,Sukari,Sabuni pamoja na nguo kama sehemu ya msaada kwa watoto hao Huu ni... Read More