0 Comment
Tanzania inatarajia kuzindua Tuzo za Kitaifa za Utalii na Uhifadhi Desemba 20, 2024, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuenzi mchango wa wadau wa sekta hizo. Rais Samia Suluhu Hassan atatunukiwa tuzo ya heshima kwa mchango wake kupitia filamu za Royal Tour na Amazing Tanzania. Dk. Louis Leakey na Mary Leakey pia watatuzwa kwa uvumbuzi... Read More