0 Comment
Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhe. Mhagama ameyasema hayo leo tarehe 17, Desemba 2024 Jijini Dodoma, wakati akizindua vifurushi vitatu vya vya Bima ya Afya... Read More