0 Comment
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameongoza maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Mkoani humo na kuwataka wafanyakazi kufanya kazi kwa umahiri na uadilifu huku wakiamini kuwa Serikali inawapenda na inaendelea kushughulikia changamoto zao RC Chalamila akizungumza Jijini Dar es salaam leo katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei... Read More