0 Comment
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma CRDB Banki kupitia jina la Rais DK Samia Suluhu Hassan,katika hati fungane wamefanikiwa kukusanya zaidi ya sh bilioni 300 kwa ajili ya kuboresha miundombinu mbalimbali ya barabara. Hayo yalibainishwa na Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB Boma Lamara wakati akiwasilisha mada katika ufunguzi wa mkutano wa 39 wa... Read More