0 Comment
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, Vitta Rashid Kawawa, amekabidhi dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 14.5 kwa Zahanati ya Luangano, iliyopo Kata ya Mputa, Wilayani Namtumbo. Makabidhiano hayo yalifanyika rasmi tarehe 9 Mei 2025 katika viwanja vya zahanati hiyo. Zahanati ya Luangano imejengwa kwa ushirikiano kati ya wananchi na mbunge... Read More