Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ametumia zaidi ya Shilingi Bilioni 80 (Tsh. 87 B) kwenye masuala mbalimbali kwa ajili ya Klabu hiyo. Read More
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule ya kisasa ya wasichana Mwanza ambayo imejengwa katika Wilaya ya Magu. Shule hiyo imejengwa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) kwa gharama ya shilingi Bilioni 4.1 huku ikiwa na miundombinu toshelevu. Miundombinu iliyojengwa ni pamoja... Read More
Na Mwandishi wetu, Prishtina Ujumbe kutoka Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani, Jaji Mstaafu Mhe. Awadh Bawazir umewasili Jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 14 – 18 Julai, 2025. Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani ameambatana... Read More
Na Mwandishi Wetu WAZAZI ambao watoto wao wanakwenda kusoma nje ya nchi kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 wametakiwa kufuatilia kwa karibu mwenendo wa watoto wao kitaaluma na tabia. Wito huo ulitolewa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel alipokutana na wazazi na wanafunzi hao... Read More
Na Seif Mangwangi, Arusha WAKATI Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango akitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa pili wa Mabaraza ya Habari Afrika (Nimca), kesho Julai 15, 2025, Umoja wa Mataifa (UN), umesema uanzishaji wa vyombo vya habari vya kujitegemea ni muhimu kwa maendeleo na uendelevu wa Demokrasia katika Taifa lolote... Read More
Kassim Nyaki, NCAA. Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) inatumia fursa ya mkutano wa pili wa mabaraza huru ya Habari Afrika unaofanyika jijini Arusha kunadi vivutio vya utalii vilivyopo Ngorongoro ili kuendelea kuwavutia wageni wengi zaidi. Mkutano huo unaofanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 14- 17 Julai 2025 unawakutanisha wadau mbalimbali wa Sekta ya... Read More
Farida Mangube, Morogoro MKEMIA Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelis Mafuniko, amesema mchango wa wadau katika utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Kemikali za Viwandani (Sura ya 182) umeendelea kuimarika, na kuonyesha kuongezeka kwa uelewa, uwazi na uwajibikaji katika kulinda afya ya jamii na mazingira nchini. Dkt. Mafuniko alitoa kauli hiyo mjini Morogoro katika kikao kazi... Read More
Farida Mangube, Morogoro JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia James Lugembe (55), mkazi wa Kitongoji cha Manzese B, Kata ya Mkwatani, Wilaya ya Kilosa, kwa tuhuma za kumuua mke wake, Restuta Walela (50), kwa kumkata kwa kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa... Read More
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho, kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16, kimeitishwa kufuatia kukamilika kwa zoezi la uchukuaji na urejeshaji... Read More
Mshindi akioneshwa kiwanngo cha fedha alizoshinda katika fainali ya mchezo wa kurusha ndege Aviantor Legend Wachezaji Nane walioshiriki mchezo wa kurusha ndege (Vindege) na Betway wakiwa katika picha ya pamoja. Mshindi wa Milioni 57,500,000 Abdulrazak Ngoroge akizungumza kuhusiana na ushindi wake mara baada ya kuwashinda watu saba katika fainali ya mwezi mmoja. Meneja wa Masoko... Read More