0 Comment
Wakala wa Vipimo Tanzania wamepokea na kusimika mtambo mpya wa kisasa wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, kwa ajili ya kuhakikisha dira za maji. Mtambo huo una uwezo wa kupima hadi dira 1,000 kwa siku, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na usahihi katika uhakiki wa mita za maji nchini. Kupitia maadhimisho ya Siku... Read More