0 Comment
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 28 cha Mkutano 19 wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2025. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiteta jambo na Naibu Waziri wa Maji Mhe.... Read More