0 Comment
Na John Mapepele Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia eneo la Afya, Prof. Tumaini Nagu amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kote nchini kuendelea kuzingatia taaluma na kufanya kazi kwa bidii ikiwa ni kusherekea mafanikio makubwa ambayo yamepatikana katika Sekta ya Afya Msingi yaliyofanywa na Serikali kwa kipindi cha miaka minne... Read More