0 Comment
Na Mwandishi Wetu ,Arusha KAMPUNI ya Oryx Gas imesema katika mwaka 2025 imeweka mikakati mbalimbali ya kufanikisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwemo kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutoa mitungi ya gesi na majiko yake kwa makundi mbalimbali. Aidha imesema tangu mwaka 2021 mpaka mwaka 2024 imegawa bure mitungi ya gesi na... Read More