0 Comment
Rapa wa Marekani, Nelly ametetea uamuzi wake wa kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump baada ya kutokea pingamizi. Nyota huyo wa Hot in Herre anatarajiwa kutumbuiza pamoja na The Village People at the Liberty Inaugural Ball, kwenye sherehe rasmi inayoashiria kurejea kwa Trump kwenye Ikulu ya White House. Nelly alikosolewa mtandaoni baada ya... Read More