0 Comment
Pamela Mollel,Arusha. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ndugu Ismail Ally Ussi, amezitaka sekta binafsi nchini kutumia vema fursa ya uboreshaji wa sera na mazingira ya uwekezaji nchini . Amesema kuwa serikali ya awamu hii imefanya kazi kubwa ya kuondoa vikwazo vingi vya uwekezaji ili kuvutia wadau wengi kufanya kazi na biashara... Read More