0 Comment
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, amepokea kiasi cha shilingi milioni 10 kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kama pongezi kwa ushindi wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes). Timu hiyo ilishinda kwa magoli 2-1 dhidi ya Timu ya Taifa ya Burkina Faso katika... Read More