0 Comment
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Selemani Jafo Serikali itaendelea kulinda na kukuza viwanda vya ndani kwa kuweka mazingira wezeshi na rafiki kwa biashara na uwekezaji ili kuongeza ajira, Pato la Taifa na kukuza uchumi Jumuishi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Aidha, Waziri Jafo ametoa wito kwa Wazalishaji Kundelea kutumia... Read More