0 Comment
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA KAMPUNI ya Meli Tanzania (TASHICO) imefafanua tukio la kuzama kwa meli ya MV Serengeti katika Bandari ya Mwanza Kusini,Ziwa Victoria, baadaa ya kukumbwa na tatizo la kuegemea upande wa nyuma na kutitia chini ndani ya maji. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASHICO, Wakili Alphonce Paul Sebukoto,... Read More