0 Comment
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Ally Hapi akiwa Kibaha Vijijini amepigilia msumari suala la viongozi waliopo madarakani kuhakikisha wanafanya kazi na kutoa mrejesho kwa wananchi waliompa madaraka hayo kuwaongoza hususani katika kipindi hiki ambacho wataingia katika kugombea nafasi zao na kuomba ridhaa kwa wananchi kuwachagua badala ya kuja kulalamika baada ya kushindwa... Read More