0 Comment
WANANCHI WA Kata ya Tungi Katika Manispaa ya Morogoro wamelalamikia kitendo kilichofanywa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Abdulaziz Abood cha ‘kuwalaghai’ kwa kuzindua kisima ambacho hakitoi maji tangu alipokizindua. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutoandikwa majina yao na vyombo vya habari, wananchi hao wamedai Kisima hicho kilichopo katika Kituo cha Afya Tungi... Read More