0 Comment
Afisa Mkuu wa kodi kutoka Idara ya Walipa kodi wa Kati, Beatrice Stephen akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Suturn inayotengeneza magari aina ya Sinotruck, Chirag Tanna leo Desemba 23, 2024 walipotembelewa na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwaajili ya kuwashukuru na kusikiliza changamoto zao za kikodi. Meneja wa Ritani kutoka... Read More