0 Comment
Madiwani na viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Nanyamba wamefanya ziara ya siku moja katika Jiji la Mwanza kwa lengo la kujifunza usimamizi wa miradi na mbinu za kuongeza mapato. Ziara hiyo ni sehemu ya jitihada za kuboresha utendaji wa halmashauri hiyo iliyopo mkoani Mtwara. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nanyamba, Mhandisi Mshamu Munde, amesema wamejifunza... Read More