0 Comment
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 5, 2025, amesimama kuwasalimia na kuomba kura kwa maelfu ya wananchi wa Jimbo la Uyole, Mbeya, waliokuwa wamemiminika barabarani kumpokea. Akizungumza na wananchi hao, Dkt. Samia amesema serikali ya CCM imejipanga kuendeleza jitihada za maendeleo kwa... Read More