0 Comment
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar leo Januari 22,2025 ametembelea mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata katika Halmashauri ya Masasi Mji na Masasi DC mkoani Mtwara na kushuhudia washiriki hao wakifanya mafunzo kwa vitendo. Mafunzo hayo ya siku mbili yalianza Januari 21 na kumalizika Januari 22,... Read More