0 Comment
Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego ameamua kutumia kipaji chake cha Sanaa kwa kuimba nyimbo ya msanii Mbilia Bel inayoitwa Nakei Nairobi kwa kumchangia walemavu wa Ngozi wa familia moja yaani mama na mtoto na kufanikiwa kupata kiasi cha shilingi laki mbili na 20 kwenye kongamano la fursa na biashara lililofanyika mkoani Singida “wapo... Read More