0 Comment
Walipakodi wa mkoa wa Katavi wameeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kukusanya Kodi bila kutumia nguvu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda... Read More