0 Comment
Farida Mangube, Morogoro Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Mussa Ali Mussa, amewataka watafiti kuchapisha tafiti zao kwa Kiswahili ili kuhakikisha matokeo ya utafiti yanafika kwa jamii inayolengwa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa utafiti wa magonjwa yanayo ambukizwa kutoka Kwa wanyama kwenda kwa binaadamu unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo... Read More