0 Comment
MWANGA katikati ya giza nene uliangazia ulimwengu Mwaka 1995,wakati ambao Mwanamke alionekana kutoweza kufanya jambo lolote bila Mwanaume, Mkutano wa Beijing-China uliibua mwongozo wa kurasa 129 uliobeba ajenda 12 ambazo zilizolenga kumuwezesha mwanamke. Ajenda hizo zilijikita hasa katika kukabiliana na umaskini, kupata elimu na mafunzo, afya Bora, kukabiliana na mizozo ya kivita, uchumi, Mfumo wa... Read More