0 Comment
Wanajeshi wapatao 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na adhabu ya kifo au vifungo vya miaka 10 hadi 20 jela. Ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashitaka ya ubakaji, kuasi jeshi na uhalifu mwingine Msemaji wa jeshi la Kongo Luteni Kanali MaK Hazukay amesema askari hao walifikishwa mbele ya mahakama ya kijeshi mjini... Read More