0 Comment
WANANCHI wa Mkoa wa Kilimanjaro wamehiimizwa kutumia Tamasha la asili la kiutamaduni la Kilimanjaro Cultural Festival KCF kujifunza wao pamoja na watoto na vijana kuhusu tamaduni, Mila na desturi za makabila yao ikiwemo vyakula vya asili, viinywaji, faida zake, Lugha za asili na kubadilisha mtazamo wa maisha na malezi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw... Read More