0 Comment
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki ameshiriki mhadhara wa Siku ya Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Akizungumza katika mjadala huo Mhe.Thabo Mbeki amesema mjadala huo umewakutanisha wasomi, vijana na Taasisi ya Thabo Mbeki ili kuangalia kwa pamoja juu ya nini kifanyike... Read More