0 Comment
Na Emmanuel Massaka,Tabora MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imepongezwa kwa kazi kubwa ya udhibiti wa dawa nchini sambamba na ujenzi wa makao makuu ya kanda ya TMDA katika Mkoa wa Tabora ambayo ni heshima kubwa ya Mkoa huo. Pongezi hizo zimetolewa leo Julai 16,2025 na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paulo Chacha... Read More