0 Comment
Waziri wa katiba na Sheria Dokta Damas Ndumbaro ameongoza zoezi la kutoa msaada wa kisheria kwa wafungwa na mahabusu Gereza la Kiberege lililopo Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro. Dk. Ndumbaro atoa msaada huo katika uzinduzi wa kampeni ya Mama Samia Legal Aid Wilayani humo ambapo amesema lengo la Kampeni hiyo ni kusaidia Wananchi katika utatuzi... Read More