0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. MKURUGENZI wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya kesho Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025. Kailima ameyasema... Read More